promotion

Jumatano, 14 Januari 2015

RC: Wakulima wanatudai Sh22 bilioni

mcharoman blogy
Wachuuzi wa ndizi katika Soko la Makorora Tanga wakisubiri wateja ambapo walikuwa wakiuza mkungu mmoja kati ya Sh7000 na Sh13000 inategemea na aina ya ndizi na ukumbwa wa mkungu. Picha na Salim Mohammed 

Gari la DC wa Mbozi dk kadege lazua tafrani jimboni kwa Kilango wilayani same mkoani kilimanjaro

Mbunge wa Same Mashariki, Anne Kilango Malecela  akizozana na  dereva wa mkuu wa wilaya ya Mbozi (aliyekataa kutaja jina lake) baada ya kukuta gari la mkuu huyo wa wilaya likipeperusha bendera katika jimbo la Same Mashariki jambo ambalo ni kinyume cha taratibu. 

Mvua yaleta maafa Msumbiji

mcharoman blogy

JOH MAKINI: MUZIKI UMENIFANYA NISIWE PAKA ROAD




 mcharoman blogy

JOH MAKINI: MUZIKI UMENIFANYA NISIWE PAKA ROAD




 mcharoman blogy

Jumanne, 16 Desemba 2014

Mapendekezo ya katiba yapitishwa:Uganda

mcharoman blogy

Tahadhari:'Hatari za urembo bandia'


mcharoman blogy

Shabiki mtoto alipomtoa machozi Justin Timberlake… Nimekuwekea na video hapa.






&MaxW=640&imageVersion=default&AR-140109249


Watoto huwa hawajui kuficha hisia, kama akipenda huonyesha anapenda kweli na kama anachukia kitu pia hawezi kuficha kama anachukia.
Mtoto mmoja alionyesha kuvutiwa na Justin Timberlake alipokuwa akiperform kwenye stage ya  Barclays Center, Marekani Jumapili December 14  ambapo mtoto mmoja liyekuwa amevaa suti na tai yake safi alikuwa na zawadi ya Justin mkononi na alipoonyesha ishara ya kumtaka msanii huyo apokee zawadi yake, jamaa alisimamisha show na kuipokea.
Zawadi hiyo ilikuwa imefungwa poa kabisa, alipofungua alikuta zawadi aliyopewa ilikuwa ni tai, Justin alifurahishwa sana na zawadi hiyo.
… Una miaka kumi, umekuwa ukiniangalia tangu una miaka miwili… Hey man, hii ni zawadi kubwa sana… Kwa sababu gentleman hawezi kuvaa tai mbili, hii nitaivaa siku ya Christmas… Nakupenda…“– Justin Timberlake.
Justin alijikuta akishindwa kujizuia kutokwa machozi baada ya kusema hayo.
Unaweza kuitazama video ya tukio hilo hapa.



#‎BREAKING_NEWZ‬ MGANGA AWACHOMA MOTO WATEJA WAKE HUKO TANGA WAKATI AKIFANYA TAMBIKO, MMOJA AFA




Mgombea CCM, mpigakura wafariki dunia ghafla

UKAWA MBELE KWA MBELE

Wafuasi wa Chadema mjini Nansio Wilaya ya Ukerewe, Mwanza wakishangilia ushindi katika uchaguzi wa Serikali za Mitaa uliofanyika juzi. Picha na Jovither Kaijage

MUME AOTA MAGAMBA, MKE APATA UPOFU, NI UTATA MTUPU

Mathayo George (61) anayeugua ugonjwa wa kuota magamba.

MWALIMU ACHINJWA KAMA KUKU... MWILI WAKUTWA KICHWA KANDO, UTUMBO NJE... MWANAFUNZI WAKE AHUSISHWA

Marehemu Alfred Ghozi enzi za uhai wake.