Mtoto huyo ambaye jina lake Njankep Alexandre ambaye alipelekwa
katikahospital moja ya huko Cameroon ambapo madaktari walimpeleka
katika chumba za wagonjwa mahututi ili kumpatia matibabu zaidi baada ya
mtoto huyo kuvuja damu nyingi sana.
Wakati polisi wakiendelea kumhoji mama huyo hajatoa ushahidi kamili na anashikiliwa na jeshi la polisi la nchini Cameroon!
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni