Wachuuzi wa ndizi katika Soko la Makorora Tanga wakisubiri wateja ambapo walikuwa wakiuza mkungu mmoja kati ya Sh7000 na Sh13000 inategemea na aina ya ndizi na ukumbwa wa mkungu. Picha na Salim Mohammed
Mbunge wa Same Mashariki, Anne Kilango Malecela akizozana na dereva wa mkuu wa wilaya ya Mbozi (aliyekataa kutaja jina lake) baada ya kukuta gari la mkuu huyo wa wilaya likipeperusha bendera katika jimbo la Same Mashariki jambo ambalo ni kinyume cha taratibu.