promotion

Alhamisi, 15 Januari 2015

Mama huyu aliamua kumkabidhi mwanaye wa miezi minne kwa mpenzi wake ili amwingilie kimwili

mcharoman blogy
Hii inaweza kuwa habari ya kushangaza sana baada ya mwanamke mmoja Jessica Lynn kuhukumiwa jela miaka 25 baada ya kumruhusu mpenzi wake kumbaka mwanaye wa miezi minne.

Kwa mujibu wa taarifa ya polisi katika mji wa Missouri, Marekaniwalisema mwanaume huyo Jordan Lafayette Prince aliwahi kuhukumiwa na makosa ya udhalilishaji kwa wanawake na sasa amehukumiwa kwa makosa ya kuua na kubaka kwa kukusudia.


rapeJessica Lynn na mpenzi wake Jordan 
 Lafayette Prince

Kwa upande wa mama wa mtoto huyo Jessica, yeye amehukumiwa jela miaka 25 baada ya kutoaruhusa kwa mwanaume huyo kufanya vitendo hivyo tangu mtoto huyo alipokua na wiki nne hadi alipofikisha miezi minne ambapo alifariki kutokana na kuwa na maumivu ya ndani ya mwili.
Wakati anambaka mtuhumiwa alikua akimpiga mtoto huyo wakati akiwa analia na kumsababishia maumivu ya ndani ambayo yalichangia kifo cha mtoto huyo” walisema Polisi

Hakuna maoni: