Alhamisi, 4 Desemba 2014
BREAKING NEWZZ:_Bus la Zuberi Laacha Njia na Kumgonga Mwendesha Bodaboda Aliekuwa Pembezoni Mwa Barabara na kufariki papohapo.
Mwili wa Marehemu ukiwa bado eneo la tukio na ukiwa haujachukuliwa na Polis kwa hatua zaidi |
CHID BENZ KIZIMBANI TENA
MSANII wa muziki wa kizazi kipya, Rashid Makwiro ’Chid Benz’ leo amepandishwa tena kizimbani katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam kufuatia kesi yake ya kukamatwa na madawa ya kulevya kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere. Kesi ya staa huyo imeahirishwa mpaka Januari 15, 2015 itakapotajwa tena.
MAZISHI YA MRATIBU WA POLISI CAPT.KIDAI SENZALA ALIYEFARIKI KATIKA AJALI YA HELKOPTA DAR ES SALAAM
MISIBA YA VIJANA MATEI NA OGUNDA YATIKISA MJI WA DODOMA
Majeneza yenye miili ya marehemu Joshua na Matei wakati wa ibada Uwanja wa Nyerere Dodoma jana. |
Jisajili kwenye:
Machapisho (Atom)