Sanamu ya Hayati Baba wa Taifa Julius Kambarage Nyerere iliyoko katika kipita shoto cha katikati ya wilaya ya Maswa mkoani Simiyu kama nilivyokinasa hii leo.
Baadhi ya watu wakiangalia masalia ya basi la abiria la Wibonela baada ya kuondolewa sehemu lilipopata ajali eneo la Fantom Wilaya ya Kahama mkoani Shinyanga jana.(Picha: Mohab Dominick).