Mikoa mingi hapa nchini imeshindwa kujenga sanamu ya Baba wa Taifa na kubakia kujenga sanamu za malighafi zizalishwazo mikoani humo (samaki (Mwanza), ndizi (Bukoba), tembo na Mmasai (Arusha na kadha wa kadha)) pamoja na rasilimali nyingine kisa mikoa hiyo ikiogopa kupata aibu kama ile iliyolikumba jiji la Mwanza kwa sanamu ya Baba wa Taifa katikati ya kipita shoto cha jiji hilo la miamba kushushuliwa kuwa na utofauti na taswira halisi ya JK na hatimaye sanamu hilo lililogharimu pesa nyingi kupotea kusikojulikana mpaka leo... Swali ni Jeh Maswa wameweza? |
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni