Jumapili, 11 Januari 2015
Jumamosi, 10 Januari 2015
Ijumaa, 9 Januari 2015
Ijumaa, 26 Desemba 2014
Alhamisi, 25 Desemba 2014
Jumanne, 23 Desemba 2014
Jumatatu, 22 Desemba 2014
Jumapili, 21 Desemba 2014
Jumamosi, 20 Desemba 2014
MDAHALO WA KATIBA WAFANYIKA LEO MWANZA
Jumatano, 17 Desemba 2014
Jumanne, 16 Desemba 2014
Shabiki mtoto alipomtoa machozi Justin Timberlake… Nimekuwekea na video hapa.
Watoto huwa hawajui kuficha hisia, kama akipenda huonyesha anapenda kweli na kama anachukia kitu pia hawezi kuficha kama anachukia.
Mtoto mmoja alionyesha kuvutiwa na Justin Timberlake alipokuwa akiperform kwenye stage ya Barclays Center,
Marekani Jumapili December 14 ambapo mtoto mmoja liyekuwa amevaa suti
na tai yake safi alikuwa na zawadi ya Justin mkononi na alipoonyesha
ishara ya kumtaka msanii huyo apokee zawadi yake, jamaa alisimamisha
show na kuipokea.
Zawadi hiyo ilikuwa imefungwa poa
kabisa, alipofungua alikuta zawadi aliyopewa ilikuwa ni tai, Justin
alifurahishwa sana na zawadi hiyo.
“… Una
miaka kumi, umekuwa ukiniangalia tangu una miaka miwili… Hey man, hii
ni zawadi kubwa sana… Kwa sababu gentleman hawezi kuvaa tai mbili, hii
nitaivaa siku ya Christmas… Nakupenda…“– Justin Timberlake.
Justin alijikuta akishindwa kujizuia kutokwa machozi baada ya kusema hayo.
Unaweza kuitazama video ya tukio hilo hapa.
UKAWA MBELE KWA MBELE
![]() |
| Wafuasi wa Chadema mjini Nansio Wilaya ya Ukerewe, Mwanza wakishangilia ushindi katika uchaguzi wa Serikali za Mitaa uliofanyika juzi. Picha na Jovither Kaijage |
MUME AOTA MAGAMBA, MKE APATA UPOFU, NI UTATA MTUPU
| Mathayo George (61) anayeugua ugonjwa wa kuota magamba. |
MWALIMU ACHINJWA KAMA KUKU... MWILI WAKUTWA KICHWA KANDO, UTUMBO NJE... MWANAFUNZI WAKE AHUSISHWA
| Marehemu Alfred Ghozi enzi za uhai wake.
|
Jumatatu, 15 Desemba 2014
Jumapili, 14 Desemba 2014
Alhamisi, 11 Desemba 2014
MAADHIMISHO YA SIKU YA HAKI ZA BINADAMU DUNIANI YAFANYIKA JIJINI DAR
| Blass Band ya Jeshi la Polisi ikiongoza maandamano ya Maadhimisho ya Siku ya Haki za Binadamu Duniani na Miaka 66 ya Tamko la Kimataifa la Haki za Binadamu. Maandamano hayo yaliyoanzia Taasisi ya Elimu ya Watu Wazima hadi Makumbusho ya Taifa Dar es Salaam leo asubuhi yaliandaliwa na Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC). |
Jisajili kwenye:
Machapisho (Atom)











.jpg)
.jpg)
















