promotion

Jumanne, 15 Septemba 2015

WAWILI WAFARIKI KATIKA AJALI IRINGA

mcharoman blogy fahar yako mtanzania
Gari aina ya Toyota Harrier likitolewa eneo la ajali.

Waziri Lukuvi azindua mpango kabambe wa mji mpya wa Kigamboni

mcharoman blogy fahar yako mtanzania
Picha za Mji Mpya wa Kigamboni.

UNESCO, TCRA yataka wadau wa habari katika matumizi ya intaneti kuzingatia usiri na maadili

mcharoman blogy fahar yako mtanzania
wenyekiti wa National Governance Internet Forum ambaye pia ni Rais wa Klabu za Waandishi wa Habari Tanzania (UTPC), Kenneth Simbaya akiwakaribisha wadau wa mitandao na watumiaji wa intaneti kwenye jukwaa hilo kabla ya kumkaribisha mwakilishi wa Mkurugenzi Mkuu wa TCRA kufungua rasmi jukwaa hilo.. Kulia ni Katibu Mtendaji wa Tanzania Education and Research Network (TERNET), Amos Nungu na Kushoto ni Ofisa Miradi ya Mawasiliano, Habari na Tehama wa Shirika la Kimataifa la Sayansi, Elimu na Utamaduni (UNESCO) nchini, Al Amin Yusuph akifuatiwa na Mwakilishi wa Mkurugenzi Mkuu Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA), Bw. Sunday Richard. (Picha zote na Zainul Mzige waModewjiblog)

NEC Yaahirisha Uchaguzi wa Ubunge Jimbo la Lushoto

mcharoman blogy fahar yako mtanzania

Jumamosi, 29 Agosti 2015

BABU AWAMWAGIA MAJI YA MOTO WAJUU ZAKE 3, MMOJA AFARIKI DUNIA...SIMIYU"

mcharoman blogy fahar yako mtanzania
Mama wa mtoto aliyemwagiwa maji na kupoteza maisha Bi kundi kulwa akielezea waandishi wa habari(hawapo pichani) kilichotokea

Jumapili, 16 Agosti 2015

Mlipuko China:Watu 95 hawajulikani waliko

mcharoman blogy fahar yako mtanzania

KIKWETE AAGWA NA WAHANDISI JIJINI DAR

mcharoman blogy fahar yako mtanzania
Dkt. Jakaya Kikwete akiingiza ufunguo wa trekta aliyozawadiwa na Bodi ya Wahandisi kama ishara ya kumtakia maisha mema anapoelekea kupumzika.

Alhamisi, 6 Agosti 2015

WANANCHI ZAIDI YA 12,000 WANAOISHI KATIKA MAZINGIRA MAGUMU KIJIJI CHA SHANWA WILAYANI MASWA MKOANI SIMIYU WANUFAIKA NA MFUKO WA TASAF

mcharoman blogy fahar yako mtanzania
Fedha Tsh 13,266,340 zilizotengwa na mradi wa Tasaf kwaajili ya kaya maskini 308 katika kijiji cha shanwa wilayani maswa mkoani simiyu