promotion

Alhamisi, 6 Agosti 2015

WANANCHI ZAIDI YA 12,000 WANAOISHI KATIKA MAZINGIRA MAGUMU KIJIJI CHA SHANWA WILAYANI MASWA MKOANI SIMIYU WANUFAIKA NA MFUKO WA TASAF

mcharoman blogy fahar yako mtanzania
Fedha Tsh 13,266,340 zilizotengwa na mradi wa Tasaf kwaajili ya kaya maskini 308 katika kijiji cha shanwa wilayani maswa mkoani simiyu


Mgeni rasmi kwa niaba ya mkuu wa wilaya ya maswa Bi Ntagae ambaye ni afisa elimu  wilayani hapa akizindua rasmi ugawaji wa fedha hizo
Mratibu wa mpango wa kunusuru kaya maskini wilayani maswa mkoani simiyu Bi.Grace Tungaraza akiongea na waandishi wa habari( hawapo pichani) mara baada ya zoezi la ugawaji wa fedha hizo
Mmoja wa wananchi walionufaika na mradi huu wa Tasafu bi Hawa akiongea na waandishi wa habari


Tasaf ni mfuko wa maendeleo ya jamii unaoratibiwa na ofisi ya raisin ukiwa na na lengo la kuwezesha kaya maskini hapa nchini
 Na takribani wakazi zaidi ya elfu kumi na mbili (12,000) katika kaya miatatu na nane(308) wamenufaika na mfuko huu kwa kijiji cha shanwa wilayani maswa mkoani simiyu 



Hakuna maoni: