mcharoman blog fahari yako mtanzania
Wakulima wa kata ya nzazui na nyalikungu wakijadili changamoto zilizopo katika zao la pamba |
Wafanyakazi kutoka jukwaa la mashirika yasiyokuwa yakiserikali yanayojihusisha na kilimo[ANSAF] wakiwa pamoja kwenye picha |
Afisa habari na mawasiliano kutoka ANSAF Bw.Mbwarwa Kivuro akimkabidhi majarida yanayohusu kilimo mwenyekiti wa kijiji cha nzanzui wilayani maswa mkoani simiyu
Lengo la ansafi ni kuhakikisha mkulima anapata haki yake ya msingi ili kuweza kuimarisha sekta hii muhimu hapa nchini.Hata hivyo wakulima wa zao la pamba hususan wilayani maswa mkoani simiyu wamekuwa wakipata changamoto nyingi zikiwemo bei ya zao hilo kushuka kipindi cha mavuno hadi sh 800 kwa kilo hali inayowapelekea kutopata manufaa zaidi na zao hilo
Sambamba na hayo ANSAF wamewaahidi wakulima kuwasaidia hasa kwanza wao wenyewe kutambua haki zao za msingi ikiwemo kushirikisha katita kuchagua bei ya kuuza na kununua pamba ili kuwe na uhusiano mzuri kati ya muuzaji na mnunuzi wa pamba
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni