mcharoman blogy fahar yako mtanzania
Baadhi ya vituo vya kupigia kura za maoni kumpata mbunge atakayepeperusha bendera ya chama cha mapinduzi ccm wilayan maswa mkoani simiyu vimetawaliwa na majungu baada ya baadhi ya watu kukamatwa na kadi feki zaidi ya mia moja na hamsini (130) fuatili barua ya mmoja wa mawakaya aliyomuandikia katibu ccm wilayani hapa
Kwa upande wa katibu wa ccm wilayani hapa Bw.Omary hassan mtua amesema wanaendelea kufuatilia suala hili ikiwemo baadhi ya kata kutofanya uchaguzi kutokana na vurugu mbali mbali
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni