promotion

Jumatano, 26 Agosti 2015

Hatimae mtoto anastanzia arudi tanzania akiwa salama baada ya kufanyiwa upasuaji wa moyo india

mcharoman blogy fahar yako mtanzania


Mama anastanzia akitoa shukrani kupitia redio sibuka fm
Sehemu ambayo mtoto anastanzia alifanyiwa upasuaji kwa ajili ya matibabu ya moyo nchini india




Baba wa mtoto anastanzia akitoa shukrani kwa watanzania waliofanikisha kumpeleka mtoto wake india kwa matibabu


Mtoto anastanzia kutoka wilaya ya maswa mkoani simiyu ana umri wa miaka miwili tangu utotoni alikua anasumbuliwa na tatizo la matundu kwenye moyo na kuhangaika kwa takriban miaka miwili sasa na baada ya kupelekwa bugando mwanza ilishindikana na madaktari wakamwandikia rufaa ya kwenda nchini india kwa ajili ya ipasuaji
Kwa mujibu wa baba wa mtoto anastanzia amesema takriban pesa za kitanzania million kumi na tano zilitumika kwa ajili ya matibabu ya mtoto amesema waliondoka tanzania mwez march 2015 na kuchukua takriban mwezi miwili nchini india kwa ajili ya matibabu ya mtoto wao

''Natoa shukrani kwa wale wote waliofanikisha matibabu ya mtoto anastania'' Alisema baba anastanzia


Hakuna maoni: