promotion

Jumanne, 16 Desemba 2014

Mapendekezo ya katiba yapitishwa:Uganda

mcharoman blogy

Tahadhari:'Hatari za urembo bandia'


mcharoman blogy

Shabiki mtoto alipomtoa machozi Justin Timberlake… Nimekuwekea na video hapa.






&MaxW=640&imageVersion=default&AR-140109249


Watoto huwa hawajui kuficha hisia, kama akipenda huonyesha anapenda kweli na kama anachukia kitu pia hawezi kuficha kama anachukia.
Mtoto mmoja alionyesha kuvutiwa na Justin Timberlake alipokuwa akiperform kwenye stage ya  Barclays Center, Marekani Jumapili December 14  ambapo mtoto mmoja liyekuwa amevaa suti na tai yake safi alikuwa na zawadi ya Justin mkononi na alipoonyesha ishara ya kumtaka msanii huyo apokee zawadi yake, jamaa alisimamisha show na kuipokea.
Zawadi hiyo ilikuwa imefungwa poa kabisa, alipofungua alikuta zawadi aliyopewa ilikuwa ni tai, Justin alifurahishwa sana na zawadi hiyo.
… Una miaka kumi, umekuwa ukiniangalia tangu una miaka miwili… Hey man, hii ni zawadi kubwa sana… Kwa sababu gentleman hawezi kuvaa tai mbili, hii nitaivaa siku ya Christmas… Nakupenda…“– Justin Timberlake.
Justin alijikuta akishindwa kujizuia kutokwa machozi baada ya kusema hayo.
Unaweza kuitazama video ya tukio hilo hapa.



#‎BREAKING_NEWZ‬ MGANGA AWACHOMA MOTO WATEJA WAKE HUKO TANGA WAKATI AKIFANYA TAMBIKO, MMOJA AFA




Mgombea CCM, mpigakura wafariki dunia ghafla

UKAWA MBELE KWA MBELE

Wafuasi wa Chadema mjini Nansio Wilaya ya Ukerewe, Mwanza wakishangilia ushindi katika uchaguzi wa Serikali za Mitaa uliofanyika juzi. Picha na Jovither Kaijage

MUME AOTA MAGAMBA, MKE APATA UPOFU, NI UTATA MTUPU

Mathayo George (61) anayeugua ugonjwa wa kuota magamba.

MWALIMU ACHINJWA KAMA KUKU... MWILI WAKUTWA KICHWA KANDO, UTUMBO NJE... MWANAFUNZI WAKE AHUSISHWA

Marehemu Alfred Ghozi enzi za uhai wake.

Alhamisi, 11 Desemba 2014

MAADHIMISHO YA SIKU YA HAKI ZA BINADAMU DUNIANI YAFANYIKA JIJINI DAR

 Blass Band ya Jeshi la Polisi ikiongoza maandamano ya Maadhimisho ya Siku ya Haki za Binadamu Duniani  na Miaka 66 ya Tamko la Kimataifa la Haki za Binadamu. Maandamano hayo yaliyoanzia Taasisi ya Elimu ya Watu Wazima hadi Makumbusho ya Taifa  Dar es Salaam leo asubuhi  yaliandaliwa na Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC).


mcharoman blogy

MASKINI BI. CHEKA: MAISHA ANAYOISHI YANASIKITISHA!


Jumapili, 7 Desemba 2014

Watu kadha wauwawa karibu na Beni DRC

Raia wa Marekani na A.Kusini wauawa

Raia wa marekani Luke Somers na mwenzak wa Afrika kusini Pierre Korkie wameuawa na wapiganaji wa kundi la Alqaeda nchini Yemen


Mwaandishi habari Mmarekani Luke Somers na mwalimu raia wa Afrika Kusini Pierre Korkie wameuwawa na wapiaganaji wa al-Qaeda nchini Yemen katika juhudi za kuwaokoa.

Peresheni ya kuwaokoa iliongozwa na vikosi maaulum vya Marekani na Yemen katika jimbo la kusini la Shabwa.
Rais wa Marekani Barack Obama alilaani kile alichokieleza "mauaji ya kinyama" ya mateka hao wawili.
Walikua wanazuiliwa na wapiganaji wa kundi la al-Qaeda katika Bara arabu ambalo Marekani inalichukulia kuwa mojawapo wa matawi hatari duniani ya kundi kuu la al-Qaeda.
Kundi hilo lina makao yake Mashariki ya Yemen na limeweza kupata wafuasi wengi katika nchi masikini iliokumbwa na machafuko tangu kupinduliwa kwa Rais Ali Abdullah Saleh in 2011.
Mwalimu Pierre Korkie
Maofisa wa ngazi za juu nchini marekani wameiambia BBC kua vikosi maalum vilivyoshiriki katika jitihada za kumuokoa Luke Somera nchini hawakuwa wanafahamu kuhusu mateka mwingine aliyekuwa akishikilwa na wanamgambo hao.
Shirika ambalo mwalimu huyo raia wa Afrika Kusini Pierre Korkie alikuwa akilifanyia kazi lilisema kuwa mateka huyo angeachiliwa leo jumapili kufuatia maafikiano ya kulipa fidia.
Marekani iliamrisha kuchukuliwa jitihada hizo kwa kuwa iliamini kwamba maisha ya bwana Somers yalikuwa hatarini.