promotion

Alhamisi, 4 Desemba 2014

NEWZZ:_Picha4 Kibaka Anusurika Kuuwawa Kwenye Kampeni Mjini Kahama Ziangalie Hapa

BREAKING NEWZZ:_Bus la Zuberi Laacha Njia na Kumgonga Mwendesha Bodaboda Aliekuwa Pembezoni Mwa Barabara na kufariki papohapo.

Mwili wa Marehemu ukiwa bado eneo la tukio na ukiwa haujachukuliwa na Polis kwa hatua zaidi

CHID BENZ KIZIMBANI TENA






MSANII wa muziki wa kizazi kipya, Rashid Makwiro ’Chid Benz’ leo amepandishwa tena kizimbani katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam kufuatia kesi yake ya kukamatwa na madawa ya kulevya kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere. Kesi ya staa huyo imeahirishwa mpaka Januari 15, 2015 itakapotajwa tena.

MAZISHI YA MRATIBU WA POLISI CAPT.KIDAI SENZALA ALIYEFARIKI KATIKA AJALI YA HELKOPTA DAR ES SALAAM

Maafisa wa Polisi wakiwa wamebeba sanduku lililohifadhi mwili wa Marehemu Capt. Kidai Senzala Kalise aliyefariki Novemba 29 mwaka huu katika ajali ya Helkopta iliyotokea Kipunguni B-Moshi Bar Dar es Salaam wakielekea katika makaburi ya familia huko Gonja Maore Wilaya ya Same mkoa wa Kilimanjaro Desemba 1, 2014.




MISIBA YA VIJANA MATEI NA OGUNDA YATIKISA MJI WA DODOMA

Majeneza yenye miili ya marehemu Joshua na Matei wakati wa ibada Uwanja wa Nyerere Dodoma jana.

UMESHAWAHI KUIONA HII BILIONEA AMZIKA MAMA YAKE NDANI YA GARI LA KIFAHARI,SHUHUDIA MWENYEWE HAPA


Jumatatu, 1 Desemba 2014

Odeo fet Ruff g..wanibembeleza





Odeo fet Ruff g..wanibembeleza





Wanibembeleza...Odeo ft Ruff G



toa maoni yako

Odeo fet Ruff g..wanibembeleza



toa maoni yako

zawadi ya gari kwenye birthday sio bongo tu, Lil Wayne kampa mwanae haya mawili


Wema ampongeza Diamond, amuita ‘kaka’, Zari achukua nafasi yake rasmi, amsindikiza kwenye #CHOAMVA14


Raia Misri wapinga hukumu ya Mubarak

Waandamanaji Misri

Naibu IGP aonya matumizi ya nguvu uchaguzi wa mitaa

Naibu Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini, Kamishna, Abdurahman Kaniki


JIDE AANIKA KISA CHA KUMMWAGA GARDNER


WANAWAKE WASUTANA KISA KUIBIANA BWANA


HUYU NDIYE SINGASINGA TAPELI WA ESCROW


MMILIKI WA MATTEI LODGE AFA AJALINI DODOMA

Gari alilokuwemo Mattei likiwa limeharibika vibaya baada ya ajali.

Jumamosi, 29 Novemba 2014

Alhamisi, 27 Novemba 2014

SHEIKH PONDA ASHINDA KESI

BABA WA MSANII ASHUSHA KICHAPO


AJALI YAUA 11 TANGA





Shughuli za ukataji miti Amazon zapungua

Msitu wa Amazon

Baridi yagandisha breki za ndege Siberia

Ndege hiyo ikisukumwa

Magazeti ya Tanzania leo Nov 27,2014 Ni Shidaaah.Chukua Japo Dakika 1 kupitia Hapa.


KAMATI YA PAC YAMTAKA WAZIRI MKUU, MWANASHERIA MKUU, WAZIRI WA NISHATI NA MADINI WAWAJIBIKE KUHUSU RIPOTI YA TEGETA ESCROW


Mulongo aingia Mwanza na gia ya machinga

Mkuu mpya wa mkoa wa Mwanza,Magesa Mulongo.