promotion

Ijumaa, 28 Novemba 2014

PICHA MBALIMBALI KUTOKA UKUMBI WA HALIMASHAURI YA WILAYA YA MASWA MKOANI SIMIYU KATIKA KIAKO KILICHOFANYWA NA SHIRIKA LA SHDEFA

Baadhi ya wananchi walioshiriki katika kikako hicho 












Moja ya mabo ambayo shirika hili linalojihusisha na suala la kutoa misaada mbalimbali kwa watu waishio na vvu lililojadiliwa ni pamoja na taarifa ya maendeleo ya utekelezaji wa sheria ya ardhi ya kijiji no5 ya mwaka 1999 lakini pia kiwango cha uhitaji wa hati miliki katika vijiji,mikakati ya kufanikisha malengo pamoja na kuundwa kwa kamati jukwaa







Hakuna maoni: