promotion

Jumanne, 7 Julai 2015

Jumapili, 5 Julai 2015

Zoezi la uandikishwaji katika daftari la kudumu la wapiga kura linaendelea wilayani maswa awamu ya mwisho

mcharoman blogy fahar yako mtanzania


Zoezi la uandikishwaji katika daftari la kudumu la wapiga kura likiendelea wilayani maswa mkoani simiyu kwa kutumia mfumo mpya wa BVR


Jumamosi, 4 Julai 2015

PICHA ZA MGOMBEA UBUNGE KUPITIA CHAMA CHA MAPINDUZI CCM MASWA MASHARIKI AKISALIMIANA NA WAENDESHA BODABODA WILAYANI HAPA

mcharoman blogy fahar yako mtanzania

Mgombea wa ubunge kupitia chama cha ccm maswa mashariki Dr george francis nangale akisalimiana waendesha bodaboda wilayani maswa


Jumamosi, 27 Juni 2015

DAVIDO AZINDUA MRADI WA NGUO

mcharoman blogy fahar yako mtanzania

RAIS KIKWETE KATIKA HAFLA YA MIAKA MIWILI YA KUTAWAZWA KWA POPE FRANCIS KUWA KULIONGOZI WA KANISA KATOLIKI DUNIANI

mcharoman blogy fahar yako mtanzania
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akilakiwa na Balozi wa Vatican na Mwakilishi wa Papa nchini Tanzania, Francisco Montecillo Padilla kwenye sherehe za kuadhimisha miaka miwili ya kutawazwa Papa Francis kuwa Kiongozi wa kanisa katoliki nchini jana jioni kwenye makazi ya balozi huyo jijini Dar es salaam

Serikali yaondoa Muswada wa Habari bungeni.

mcharoman blogy fahar yako mtanzania
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais (Kazi Maalum), Mark Mwandosya.

HUU NI UJASIRI KWA KWELI,TAZAMA PICHA 5 ZA KABILA AMBALO HUTUMIA VISU KUJICHORA TATOO USONI

mcharoman blogy fahar yako mtanzania

Alhamisi, 11 Juni 2015

DAVIDO AKIRI KUWA NA MTOTO WA KIKE

mcharoman blogy fahar yako mtanzania
Mwanamuziki maarufu wa Nigeria, David Adedeji Adeleke 'Davido'.

MKULIMA ANOGESHA MBIO ZA URAIS

mcharoman blogy fahar yako mtanzania
Mkulima kutoka Kasulu mkoani Kigoma, Eldeforce Bilohe aliyechukua fomu ya kuwania urais kwa tiketi ya CCM.

Jumamosi, 6 Juni 2015

MAKARANI WA BVR ZAIDI YA 400 WAPATIWA MAFUNZO WILAYANI MASWA TAYARI KUANZA KAZI YA UANDIKISHAJI

mcharoman blogy fahar yako mtanzania

Makarani M Makarani wa uandikishaji wa daftari la kudumu la wapiga kura wilayani maswa mkoani simiyu wakiwa katika semina elekizi tayari kwa kuanza kazi

Jumatatu, 1 Juni 2015

VIJANA WADAI AWAMU HII LAZIMA KUCHAGUA VIONGOZI BORA ILI KUTOLAUMU KWA MIAKA MITANO IJAYO

mcharoman blogy fahar yako mtanzania

Wanachuo kutoka chuo cha  ufundi Binza vtc kilichopo wilayani maswa mkoani simiyu wakiwa katika pozi


Alhamisi, 21 Mei 2015

IDADI YA WAGONJWA WALIOGUA UGONJWA WA AJABU SIMIYU YAONGEZEKA NAKUFIKIA ELFU MOJA (1000.)

mcharoman blogy fahar yako mtanzania

Mkuu wa Mkoa wa Simiyu eraston Mbwilo akiongea na wananchi katika wilaya ya Meatu.

MKUU WA WILAYA ADAI NI UJINGA NA UFINYU WA AKILI KWA WANAOWAUA WATU WENYE ULEMAVU WA NGOZI(ALBINISM)

mcharoman blogy fahar yako mtanzania
Mkuu wa wilaya ya bariadi na pia kaimu mkuu wa wilaya ya maswa mkoani simiyu Mh. Ponsiano Damiano Nyami akiwa  ndani ya studio za redio sibuka fm