Jumatatu, 29 Juni 2015
CHATU AAMUA KUMLA NUNGUNUNGU PAMOJA NA MIBA YAKE SHUHUDIA KILICHOTOKOA (PICHA)
a Eland Game Reserve iliyoko KwaZulu-Natal, South Africa mwendesha baskeli alikatisha siku ya June 14 2015, akakutana na chatu mkubwa mzima kabisa aliyeonekana kama amekula na kushiba kupita kiasi… akampiga picha na kushare na watu wake mitandaoni.Watu wengi walisogea pia nao kujionea tu jinsi chatu huyo alivyo kwa sababu sio kawaida unaweza kukutana na Chatu alafu akakuacha hivihivi… Siku sita baadae yule chatu alikutwa amekufa, wakaja walinzi wa hifadhi hiyo wakampasua ili kujua nini kilichomfanya afe !!
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni (Atom)

Hakuna maoni:
Chapisha Maoni