promotion

Alhamisi, 23 Julai 2015

UCHAGUZI WA WAGOMBEA UBUNGE CHADEMA MKOA WA SIMIYU , MKUTANO WAVUNJIKA

mcharoman blogy fahar yako mtanzania

Wajumbe wa Mkutano mkuu wa chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) wilaya ya Bariadi waktoka nje baada ya Mkutano wao kuvunjika, ambao ulikuwa na lengo la kuwachagua wagombea ubunge katika jimbo hilo. mkutano huo ulivunjika baada ya kuwepo kwa vitendo vya rushwa kutoka kwa baadhi ya wagombea kugawa fedha kwa wajumbe.

MAMA KIKWETE GUMZO KIFO CHA BANZA!

mcharoman blogy fahar yako mtanzania

MGOMBEA UBUNGE MASWA MASHARIKI (CCM) JONATHAN MNYELA NDANI YA SIBUKA FM LEO SA MBILI USIKU USIKOSE KUSIKILIZA 97.0

mcharoman blogy fahar yako mtanzania
Mgombea ubunge maswa mashariki kupitia chama cha ccm wilayani maswa Jonathani Mnyela

ASKOFU GWAJIMA AKANA KUMTUSI KARDINALI PENGO..

mcharoman blogy fahar yako mtanzania

Jumanne, 21 Julai 2015

Burundi:Uchaguzi wa urais umeanza

mcharoman blogy fahar yako mtanzania

MAGUFULI AZOA WANACHAMA WAPYA MJI MDOGO WA MUGANZA WILAYANI CHATO, GEITA

mcharoman blogy fahar yako mtanzania
Mgombea Urais kwa chama cha Mapinduzi CCM, Dkt. John Pombe Magufuli akipokea kadi za Wanachama wa vyama mbalimbali vya upinzani na kujiunga na CCM, jana jioni katika viwanja vya Mji mdogo wa Muganza, wilayni Chato Mkoani Geita, Mh. Magufuli amezoa wanachama wapya waliorudisha kadi zao wapatao zaidi ya 150

LEMBELI AITOSA RASMI CCM, AHAMIA CHADEMA

mcharoman blogy fahar yako mtanzania
Aliyekuwa mbunge wa jimbo la Kahama mkoani Shinyanga, Mhe. James Daudi Lembeli.

Jumanne, 7 Julai 2015

Jumapili, 5 Julai 2015

Zoezi la uandikishwaji katika daftari la kudumu la wapiga kura linaendelea wilayani maswa awamu ya mwisho

mcharoman blogy fahar yako mtanzania


Zoezi la uandikishwaji katika daftari la kudumu la wapiga kura likiendelea wilayani maswa mkoani simiyu kwa kutumia mfumo mpya wa BVR


Jumamosi, 4 Julai 2015

PICHA ZA MGOMBEA UBUNGE KUPITIA CHAMA CHA MAPINDUZI CCM MASWA MASHARIKI AKISALIMIANA NA WAENDESHA BODABODA WILAYANI HAPA

mcharoman blogy fahar yako mtanzania

Mgombea wa ubunge kupitia chama cha ccm maswa mashariki Dr george francis nangale akisalimiana waendesha bodaboda wilayani maswa


Jumamosi, 27 Juni 2015

DAVIDO AZINDUA MRADI WA NGUO

mcharoman blogy fahar yako mtanzania

RAIS KIKWETE KATIKA HAFLA YA MIAKA MIWILI YA KUTAWAZWA KWA POPE FRANCIS KUWA KULIONGOZI WA KANISA KATOLIKI DUNIANI

mcharoman blogy fahar yako mtanzania
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akilakiwa na Balozi wa Vatican na Mwakilishi wa Papa nchini Tanzania, Francisco Montecillo Padilla kwenye sherehe za kuadhimisha miaka miwili ya kutawazwa Papa Francis kuwa Kiongozi wa kanisa katoliki nchini jana jioni kwenye makazi ya balozi huyo jijini Dar es salaam

Serikali yaondoa Muswada wa Habari bungeni.

mcharoman blogy fahar yako mtanzania
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais (Kazi Maalum), Mark Mwandosya.

HUU NI UJASIRI KWA KWELI,TAZAMA PICHA 5 ZA KABILA AMBALO HUTUMIA VISU KUJICHORA TATOO USONI

mcharoman blogy fahar yako mtanzania