mcharoman blogy fahar yako mtanzania
![]() |
| Aliyekuwa mbunge wa jimbo la Kahama mkoani Shinyanga, Mhe. James Daudi Lembeli. |
Aliyekuwa mbunge wa jimbo la Kahama mkoani Shinyanga, Mhe. James Daudi Lembeli ametangaza rasmi hii leo kuachana na Chama cha Mapinduzi (CCM) na kujiunga na Chama cha Demokrasia na Maendelo (CHADEMA)

Hakuna maoni:
Chapisha Maoni