Mabasi yanayoenda mikoani yakiwa yamepaki katika Kituo cha Mabasi cha Nyegezi mkoani Mwanza kufuatia mgomo wa Umoja wa Vyama vya Madereva nchini wakishinikiza serikali kutatua kero zinazowakumba madereva hao.
Askofu wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, Josephat Gwajima akiwa kwenye baiskeli ya wagonjwa Hospitali ya TMJ Dar es Salam jana mchana akielekea Kituo cha Polisi cha Oyterbay kupewa dhamana.