Jumapili, 14 Desemba 2014
Alhamisi, 11 Desemba 2014
MAADHIMISHO YA SIKU YA HAKI ZA BINADAMU DUNIANI YAFANYIKA JIJINI DAR
| Blass Band ya Jeshi la Polisi ikiongoza maandamano ya Maadhimisho ya Siku ya Haki za Binadamu Duniani na Miaka 66 ya Tamko la Kimataifa la Haki za Binadamu. Maandamano hayo yaliyoanzia Taasisi ya Elimu ya Watu Wazima hadi Makumbusho ya Taifa Dar es Salaam leo asubuhi yaliandaliwa na Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC). |
Jumatano, 10 Desemba 2014
Jumanne, 9 Desemba 2014
Jumatatu, 8 Desemba 2014
Jumapili, 7 Desemba 2014
Raia wa Marekani na A.Kusini wauawa
![]() |
| Raia wa marekani Luke Somers na mwenzak wa Afrika kusini Pierre Korkie wameuawa na wapiganaji wa kundi la Alqaeda nchini Yemen |
Mwaandishi habari Mmarekani Luke Somers na mwalimu raia wa Afrika Kusini Pierre Korkie wameuwawa na wapiaganaji wa al-Qaeda nchini Yemen katika juhudi za kuwaokoa.
Peresheni ya kuwaokoa iliongozwa na vikosi maaulum vya Marekani na Yemen katika jimbo la kusini la Shabwa.
Rais wa Marekani Barack Obama alilaani kile alichokieleza "mauaji ya kinyama" ya mateka hao wawili.
Walikua wanazuiliwa na wapiganaji wa kundi la al-Qaeda katika Bara arabu ambalo Marekani inalichukulia kuwa mojawapo wa matawi hatari duniani ya kundi kuu la al-Qaeda.
Kundi hilo lina makao yake Mashariki ya Yemen na limeweza kupata wafuasi wengi katika nchi masikini iliokumbwa na machafuko tangu kupinduliwa kwa Rais Ali Abdullah Saleh in 2011.
Maofisa wa ngazi za juu nchini marekani wameiambia BBC kua vikosi maalum vilivyoshiriki katika jitihada za kumuokoa Luke Somera nchini hawakuwa wanafahamu kuhusu mateka mwingine aliyekuwa akishikilwa na wanamgambo hao.
Shirika ambalo mwalimu huyo raia wa Afrika Kusini Pierre Korkie alikuwa akilifanyia kazi lilisema kuwa mateka huyo angeachiliwa leo jumapili kufuatia maafikiano ya kulipa fidia.
Marekani iliamrisha kuchukuliwa jitihada hizo kwa kuwa iliamini kwamba maisha ya bwana Somers yalikuwa hatarini.
Jumamosi, 6 Desemba 2014
Ijumaa, 5 Desemba 2014
DUNIA TUNAELEKEA WAPI JAMANI !! MAMA ALIYEUA MTOTO WAKE KWA KUMCHINJA NAYE ACHINJWA NA WANANCHI HUKO MARA
Alhamisi, 4 Desemba 2014
BREAKING NEWZZ:_Bus la Zuberi Laacha Njia na Kumgonga Mwendesha Bodaboda Aliekuwa Pembezoni Mwa Barabara na kufariki papohapo.
![]() |
| Mwili wa Marehemu ukiwa bado eneo la tukio na ukiwa haujachukuliwa na Polis kwa hatua zaidi |
CHID BENZ KIZIMBANI TENA
MSANII wa muziki wa kizazi kipya, Rashid Makwiro ’Chid Benz’ leo amepandishwa tena kizimbani katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam kufuatia kesi yake ya kukamatwa na madawa ya kulevya kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere. Kesi ya staa huyo imeahirishwa mpaka Januari 15, 2015 itakapotajwa tena.
MAZISHI YA MRATIBU WA POLISI CAPT.KIDAI SENZALA ALIYEFARIKI KATIKA AJALI YA HELKOPTA DAR ES SALAAM
MISIBA YA VIJANA MATEI NA OGUNDA YATIKISA MJI WA DODOMA
![]() |
| Majeneza yenye miili ya marehemu Joshua na Matei wakati wa ibada Uwanja wa Nyerere Dodoma jana. |
Jumatano, 3 Desemba 2014
Jumanne, 2 Desemba 2014
Jumatatu, 1 Desemba 2014
Naibu IGP aonya matumizi ya nguvu uchaguzi wa mitaa
![]() |
| Naibu Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini, Kamishna, Abdurahman Kaniki |
Jisajili kwenye:
Machapisho (Atom)




























