promotion

Jumatatu, 24 Novemba 2014

MTOTO ATUMIWA KUMWIBA MTOTO, AKAMATWA


RATIBA YA TAMASHA LA FILAMU


KIJANA SULEIMAN OTHUMAN KUTOKA ZANZIBAR ANAOMBA MSAADA WENU


MSANII HUYU WA MAIGIZO HAPA BONGO ATANGAZA KUGOMBEA UBUNGE HUKO MOROGORO


AIBU KUBWA.....AKAMATWA AKIFANYA MAPENZI NA SANAMU KWENYE SUPERMARKET

HAYA NI MAUAJI YA KUTISHA NA KUHUZUNISHA

Baadhi ya miili ya abiria waliouawa jana na Al-Shabaab eneo la Mandera, Kenya

BINTI WA MIAKA 13 APEWA UJAUZITO NA MZEE WA MIAKA 75.


KALA JEREMIAH, LA VEDA, MO MUSIC, BEN POL, STAMINA, NEY LEE WAFUNIKA UZINDUZI WA VIDEO 'USIKATE TAMAA'

Kala Jeremiah (kushoto) na Nuruwell wakipafomu kwa mara ya kwanza wimbo wa Usikate Tamaa ndani ya Maisha Club.

DAVID KAFULILA NA JESSICA KISHOA WALIVYOMEREMETA

Mbunge wa Kigoma Kusini, Mhe. David Kafulila akiwa na mai waifu wake Jessica Kishoa wakijiandaa kukata utepe wa kuingia katika mnuso kwenye ukumbi wa Annex uliopo Uvinza, Kigoma, jana Jumamosi Novemba 22, 2014.

Uchaguzi wa Rais Tunisia

Raia wa Tunisia katika zoezi la upigaji kura

Kenya yauwa al-Shabaab 100


Jumapili, 23 Novemba 2014

Maneno ya meneja wa Wema Sepetu kuhusu kumwachanisha na Diamond

HAYA NDIO MAKUBWA YALIYOMKUTA MASOGANGE.


Wilaya Inayongoza Kwa Ukatilia Wa Kijinsia Na Watoto Nchini Tanzania Iko Hapa.


Picha chafu zamfikisha rumande Msanii Huyu Wa Kizazi Kipya.



MSIBANI WA MTOTO ALIYEFIA KITUO CHA POLISI


RAIS KIKWETE ATOLEWA NYUZI KATIKA MSHONO, AFYA YAKE YAZIDI KUIMARIKA

Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akiwa amepumzika kwenye hoteli maalumu baada ya kutoka katika hospitali ya Johns Hopkins iliyopo Baltimore Maryland alikotolewa nyuzi katika mshono baada ya kufanyiwa upasuaji wa Tezi Dume wiki iliyopita. Rais Kikwete anatarajiwa kurudi tena hospitalini hapo Jumatatu kwa ukaguzi wa maendeleo ya kidonda na ushauri. 

Ijumaa, 21 Novemba 2014

ZIARA YA KINANA NDANI YA-LIWALE MKOANI LINDI

 Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akihutubia wakazi wa wilaya ya Liwale mkoani Lindi ambapo aliwaambia wananchi hao kuwa kuna haja ya kubadilisha taratibu za ajira badala ya kuwa za kudumu ziwe za mikataba kwani itasaidia kufanya kazi kwa ufanisi.

MWANDISHI INNOCENT MUNYUKU AAGWA, ASAFIRISHWA MORO


Alhamisi, 20 Novemba 2014

HAMSA: NITAZAA MPAKA NIAMBIWE BASI


Diamond Platnumz - Ntampata Wapi (Official Video HD)



toa maoni yako

Video Mr Blue-Pesa







toa maoni yako

MADIWANI MASWA WAIANGUKIA SERIKALI




Obama kutangaza mabadiliko ya uhamiaji

Rais barack obama

BIBI HARUSI APEWA TALAKA SIKU YA HARUSI, KISA SURA... KUMBE BWANA HARUSI HAJAWAHI KUMUONA


HII MPYA DUNIANI: BIKIRA NDICHO KIGEZO CHA KUWA ASKARI HUKO INDONESIA


TAMISEMI YATANGAZA TAREHE YA KUJIANDIKISHA UCHAGUZI SERIKALI ZA MITAA

 
MKURUGENZI WA SERIKALI ZA MITAA BWANA KHALIST LUANDA AKIZUNGUMZA NA WAANDISHI WA HABARI (HAWAPO PICHANI) JUU YA KUKAMILIKA KWA MAANDALIZI YA UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA MJINI DODOMA LEO AMBAPO ALITANGAZA RASMI TAREHE YA KUANDIKISHA KUPIGA KURA . (PICHA NA HABARI KUTOKA OFISI YA WAZIRI MKUU TAMISEMI).


TAJIRI MKUBWA WA BUKOBA AFARIKI KWENYE GARI YAKE AKIWA NA MPENZI WAKE.


Jumanne, 18 Novemba 2014

MTOTO ATEKWA NA WATU WASIOJULIKANA AKUTWA AMEKATWA SEHEMU ZA SIRI


MWANAFUNZI WA SHULE YA MSINGI AKUTWA NA HIRIZI AKIWA DARASANI


AJILIPUA KWA MAFUTA YA TAA


SANGOMA AZIMIA AKITOA MAJINI!



MUHIMBILI YAINGIA MATATANI KWA KUKOSA DAWA ZA KUTIBU WAGONJWA

Baadhi ya wagonjwa wakiwa katika moja ya wodi za Hospitali ya Taifa ya Muhimbili.


MWANAFUNZI AJINYONGA HADI KUFA BAADA YA KUNYIMWA KUUZA NG'OMBE WA BABA YAKE



MADAKTARI WACHANA CHANA KWA WEMBE UUME WA MWIZI WA SIMU KISHA KUMCHAPA VIBOKO HADI KUFA


KITENDO CHA WASICHANA WALIOVAA NGUO FUPI KUCHANIWA NGUO ZAO, CHAZUA BALAA HUKO KENYA, ANGALIA PICHA


NDEGE ALIYEKUWA AKIPAA ANGANI AGEUKA KUWA MWANAMKE.