promotion

Alhamisi, 23 Aprili 2015

MKUU WA WILAYA YA MASWA MH. ROSEMARY KIRIGINI

mcharoman blogy fahar yako mtanzania


hawa ni wanafunzi wa shule ya sekondary ya binza iliyopo wilayani maswa mkoani simiyu wakiwa wanamsikiliza mkuu wa wilaya hiyo baada ya kutembelea shule hiyo kujionea maendeleo mbali mbali yaliyofanyika katika shule hiyo

Pamoja na hayo Mh.Rosemary amezungumzia suala la tatizo la uhaba wa viti linaikumba shule hiyo na kusema tayari ameshaongea na wakuu wa shule zingine ambazo wanaviti vya ziada kuweza kuwasaidia huku wakiwa wanaendelea kutafuta urfumbuzio mwingine
Pamoja na hayo viti takribani miambili na nne (204) vilitolewa kwa ajili ya wanafunzi hao na tayari vinatarajiwa kutumika hivi karibuni


Hakuna maoni: