Dereva wa Bodaboda, akiwa na abiria wake, wakinyanyua miguu kukwepa kulowa na maji ya mvua yaliyofurika kwenye barabara ya Mbozi, Chang'ombe jijini Dar es Salaam jana. Mvua ya siku mbili tu tayari imeanza kuletakasheshe, si kwa wenye magari pia wenye bodaboda, watembea kwa miguu.
Mto Msimbazi ukionekana baada ya mvua ya siku mbili mfululizo jijini Dar es Salaam
Magari madogo kupata shida kuvuka bonde hilo kwa ajili ya shughuli zao jijini Dar es salaam
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni