mcharoman blogy fahar yako mtanzania
Nikatika semina iliyofanyika hii leo katika ukumbi wa halmashauri ya wilaya ya maswa mkoani simiyu ambayo imewakutanisha waganga wa jadi kwa wilaya hii ya maswa ili kuweza kuboresha kazi ikiwa ni kuachana na suala la upigaji ramli na kuweza kutokomeza tatizo la mauaji ya watu waishio na matatizo ya ngozi (Albinism) Na pia katika semina hiyo wametakiwa kujiandikisha ili kuwa na kibali maalumu kwa kila mmoja kwa ajili ya kufanya kazi hiyo
PICHA NA SAMWEL MWANGA
Waganga wa jadi wakiwa katika semina |
Waganga wa jadi wakiwa katika semina elekezi wilayani maswa
PICHA NA SAMWEL MWANGA
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni