|
|
|
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete jioni ya
leo, Jumatatu, Machi 2, 2015, atazungumza na taifa kupitia televisheni na redio
katika hotuba ya mwisho wa mwezi.
Katika
hotuba yake, Rais Kikwete anatarajiwa kuzungumza mambo matano muhimu yakiwemo
Mauaji ya Watu Wenye Ulemavu wa Ngozi – Albino na Zoezi la Uandikishaji Wapiga
Kura.
Aidha,
Rais Kikwete atazungumzia Kura ya Maoni kuhusu Katiba Inayopendekezwa, Hali ya
Usalama nchini na Ziara ya Zambia.
Imetolewa
na:
Kurugenzi ya
Mawasiliano ya Rais,
Ikulu,
DAR
ES SALAAM.
2 Machi, 2015
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni