promotion

Ijumaa, 27 Machi 2015

HAYA NI MAANDALIZI YA UPIGAJI KURA SIKU YA KESHO HUKO NIGERIA KUMCHAGUA RAISI MPYA

          mcharoman blogy fahar yako mtanzania


Raia wa Nigeria kesho wanatarajiwa kujitokeza katika uchaguzi mkuu wa nchi hiyo.
Hata hivyo kumekuwa na vuta ni kuvute huku kuripotiwa taarifa ya Mtendaji Mkuu wa Kampuni inayosambaza mashine za kusoma vitambulisho vya elekroniki vya wapiga kura kukamatwa na maafisa usalama wa nchi hiyo.
Chama kinachotawala nchini humo cha PDP kimesema kwamba mtendaji huyo Musa Sani anahusishwa na chama kikuu cha upinzani nchini humo cha APC ambaye anadhaniwa kutaka kuvuruga uchaguzi huo.