mcharoman blogy fahar yako mtanzania
Mama anastanzia akiwa na mtoto wake mwenye tatizo la moyo akiwa studio za redio sibuka kuomba msaada kwa wananchi kuweza kumpatia fedha kwa ajili ya matibabu nchini india |
Wazazi wa mtoto anastanzia wakiwa katika kituo cha redio sibuka fm kuomba msaada kwa wananchi kili mtoto wao akatibiwe tatizo la moyo nchini india |
Mtoto anastanzia kutoka wilayani maswa mkoani simiyu ana umri wa miaka miwili na anasumbuliwa na tatizo hili kwa takribani mwaka mmoja sasa na kwa mujibu wa madactari kutoka bugando wanasema mtoto huyu ana matundu matano kwenye moyo wake hivyo anahitajika kwenda india kwa matibabu mwezi April mwaka huu Hivyo msaada wako wewe kama mwananchi unahitajika msaada wako wa kifedha na pesa inayohitajika ni shl. 1,500,000 (milion moja na nusu) na kwa sasa tayari amekusanya shl 7,00000 (laki saba tu). hivyo bado shl, 8,00000 (laki nane )
Kwa mawasiliano au kwa njia ya m pesa au Airtel money
M.PESA.. 0769397462
AIRTEL MONEY 0682151410
Msaada wako unahitajika kuokoa maisha ya mtoto anastanzia
KUTOA NI MOYO SIO UTAJIRI