promotion

Jumatatu, 16 Februari 2015

TATIZO LA KUWAHI KUFIKA KILELENI NA KUVUNJIKA KWA NDOA!

mcharoman blogy

JAMBO hili la kuwahi kufika kileleni limeshakuwa ni tatizo kubwa sana ndani ya jamii na linakuwa na madhara makubwa sana kwenye familia zetu, mara nyingi husababisha kuvunjika kwa ndoa.
Kama tulivyozungumza katika makala iliyopita kwenye upande wa dalili na visababishi basi ni vema kabisa ukiwa na dalili zifuatazo ukawahi mapema matibabu ili kujenga familia iliyo bora kabisa:
Tatizo lenyewe kuwahi kufika kileleni ni dalili ya kwanza na ndio dalili kubwa sana.
Dalili nyingine ni mwanaume kuchoka sana pale anapomaliza tu kufanya tendo.
Tatu ni kupitiwa na usingizi mzito sana baada tu ya tendo.
Dalili nyingine kubwa ni kushindwa kurudia tendo kwa wak ati huwo huwo na wengine kukaa masaa au adi siku kadhaa ndo wanapata hamu tena ya kurudia tendo.
MADHARA YA KUWAHI KUFIKA KILELENI
Tatizo hili (kuwahi kufika kileleni) lina madhara tofautitofauti, nayo ni kama;
MATATIZO YA UZAZI, wanaume wengi wanaokumbwa na tatizo hili la kuwahi kufika kileleni na wapo kwenye ndoa na wenzao na wamekaa zaidi ya mwaka pasipo kusababisha ujauzito basi kuna uwezekano mbegu zako zikawa hazina spidi ya kutosha ya kusafiri na kupenya vizuri kwenye via vya uzazi vya mwanamke na wataalamu wanaita low sperm motility.
UPUNGUFU WA MBEGU, kuna uwezekano  mkubwa sana wa kuwa na upungufu wa mbegu wataalamu wanaita low sperm count na hivyo mwanaume ukashindwa kutungusha ujauzito au kusababisha ujauzito.
TATIZO LA KISAIKOLOJIA (Psychological Problems), ni moja ya madhara anayoyapata mwanaume na kujiona kuwa yeye hafai hata kidogo katika jamii kwani mke wake hana amani na yeye hakuna anachoweza kufanya.
KUVUNJIKA KWA MAHUSIANO, hapa ndipo tatizo hili linakuwa ni janga kubwa sana kwa jamii kwani husababisha mahusiano kuvunjika, ndoa kivunjika, na familia kupalaganyika, japo hatuwashauri wanajamii kufikia huko kwani jambo hili au tatizo hili linatibika na kuondoka kabisa.
Ningependa kukumbusha tena kuwa tatizo hili linatibika na ni ugonjwa kama ugonjwa mwengine, ni bora ukaanza kutafuta tiba ya ugonjwa huu ikiwa bado ni mapema na uweze kurudi kwenye hali ya kawaida kabla tatizo halijawa kubwa zaidi.
Unaweza kuwasiliana nasi kwa namba zilizopo hapo juu.
Kwa ushauri vipimo na tiba dokta anapatikana kwenye vituo vyake vya Dar es Salaam, Tanga, Morogoro na Mwanza.  
   

Hakuna maoni: