![]() |
Balozi wa Tanzania nchini Marekani Mh.Liberata Mulamula akiwasilisha kwa Rais Dkt.Jakaya M rishoKikwete salamu za kumtakia kheri na afya njema kutoka kwa Rais wa Marekani Barack Obama jijini Baltimore, Maryland, Marekani.
|
Rais
Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiongea na Balozi Liberata Mulamula na
ujumbe wake wa maafisa waandamizi wa ubalozi wa Tanzania nchini Marekani
baada ya kupokea salamu maalumu za kumtakia kheri na afya njema kutoka
kwa Rais Barack Obama wa Marekani jijini Baltimore, Maryland, Marekani.
Rais
Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na maafisa waandamizi wa Ubalozi wa
Tanzania nchini Marekani uliopo Washington D.C. wakati walipomtembelea
mjini Baltimore Maryland ambapo balozi Liberata Mulamula aliwasilisha
kwa Rais Kikwete Salamu maalum za kumtakia kheri na afya njema kutoka
kwa Rais Barack Obama jijini Baltimore, Maryland, Marekani. Picha na
Freddy Maro

Hakuna maoni:
Chapisha Maoni