promotion

Jumanne, 21 Oktoba 2014

Vijana wilayani maswa mkoani simiyu wamehimizwa kujiajiri wenyewe kuliko kusubiria ajira kutoka serikalini

Picha ya pamoja walimu pamoja na waseminishaji kutoka kundi la maswa family mara baada ya semina hiyo iliyofanyika katika viwanja vya chuo cha binza vtc

 


Ni semina iliyokuwa na lengo la kumkomboa kijana katika janga la umaskini kutokana na kusubiria ajira za serikalini na badala yake kuweza kujiajiri wao wenyewe

pia katika semina hiyo wamepata elimu mbalimbali juu ya magonjwa ya ngono hususani ugonjwa wa ukimwi ambao ni tishio kwa kila mtu
mmoja wa watoa semina mwl: patrick kutoka shule ya sekondari ya waschana maswa (Maswa girls) akitoa semina juu ya ujasiriamali















































Hakuna maoni: