Tatizo lingine Kila wakati yeye husema hana hela lakini yeye akiwa na shida huwa ananiomba na mimi huwa nampa, lakini nikiwa nataka yeye huwa tofauti na kudai hana hela wakati anafanya kazi jamani. Hadi leo hajawahi nitambulisha kwa rafiki yake wala ndugu yake na pale ofisini hataki ijulikane kama tuna mahusiano lakini anadai ananipenda sana
Nikiwa na hamu nae huwa anasababu nyingi sana na tunaweza kukaa mwezi bila hata kuwa faragha pamoja mpaka atake yeye. Je jamani haya ni mahusiano? Hivi huyu mtu ananipenda kweli au nile zangu kona tu kuliko kupotezeana muda. Naombeni ushauri wenu.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni