SIRI-Wanaume Wengi Kwa Sasa Upendelea Kuao Wadada Wenye Tabia Hizi
Katika
pitapita zangu, na kujionea maisha ya wanaume wenzangu, nimegundua kuwa
wanaume wengi hupenda kuoa wanawake wapole ambaye akijadiliana nae
jambo hapandi juu kama kifuu cha Nazi ya moto, vile vile mwenye uchumi
mdogo asimzidi yeye na zaidi awe na hofu na Mungu na kumshauri mwanaume
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni