Ni matukio ambayo ni adimu na ni nadra sana kutokea hii imetokea katia eneo moja la kisiwa ambapo inasadikika kuwa binti huyu alikwenda kwaajila ya koga baada ya kuwa maetumia kilevi kwa sana ambapo wakati
akitaka kuonga chatu huyu almfanya kitoriweo na hii ni kutokana na binti huyu kutokuwa na nguvu ya kukimbia hali amabayo imeshatolewa taarifa kuwa katika kisiwa icho kuna wanyama wakali hivyo watu wawapo eneo hilo wawe na tahadhari pamoja na askari wa uokozi wawe karibu hii ni kwa mujibi wa gazeti la moony
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni