promotion

Jumapili, 11 Mei 2014

Wadada mnaopenda Kuvaa Mawigi Katika Vichwa Vyenu, Hizi ndo athari zake, Tazama Picha Hapa



















Baadhi ya wanawake wengi wa hapa mjini wameanza kutumia style mpya ya kugundisha nywele a.k.a wiving katika vichwa vyao kwa kutumia gundi pasipo kujua madhara yake.


Watafiti na Madaktari kutoka bara ya ulaya wamethibitisha kuwa gundi hizo zinazotumiwa huwa zinakemikali ambayo zinaleta adhari kubwa katika mwili wa mwanadamu hususanikansa


Mpaka sasa madaktari bingwa kutoka ulimwenguni kote bado hawajapata ufumbuzi wa dawa ya kutibu kansa zaidi tu ya kutumia njia ya kuchomelea mionzi ili mgonjwa apate ahueni.


By mcharoman

                                        Ni vema kuacha sura,mwili wako jinsi mungu alivokuumba




Hakuna maoni: