mcharoman blogy fahar yako mtanzania
Wasanii Kizibo wa kundi la Uaridi (mwenye tisheti nyekundu) akiwa na mwenzake wakibeba baadhi ya vifaa vya zawadi muda mfupi kabla ya kukabidhi.
Baadhi ya vitu hivyo vilivyotolewa zawadi.
Mponji akiwakabidhi watoto pesa.
Mlezi wa watoto hao, Zaidia Nuru, akipokea zawadi kutoka kwa mmoja wa watoto hao.…Akiwa
amewabeba watoto kwa furaha
.
Kiongozi wa kundi la Jakaya, David Mponji, akizungumza na mmoja wa wasanii wa kundi lake (hayupo pichani).
Baadhi ya wasanii wakifurahia jambo. Wasanii Rico (mwenye kofia) wa kundi la Uaridi akiwa na mwenzake wakifuatilia jambo kwa makini.
Baadhi ya wasanii wengine wakiwa pamoja.
Wasanii wa kundi la Uaridi wakiwa na nyuso za furaha.
Mchekeshaji wa kipindi cha Kanjanja kinachorushwa na runinga ya Channel Ten, akizungumza na wasanii na watoto (hawapo pichani).
Watoto Shabani (kulia) na mwenzake wakicheza mchezo wa kupokezana kalamu, anayeshuhudia ni msanii wa Bongo Fleva, Machejo.
Baadhi ya watoto wakifuatilia mchezo huo.
Msanii Rico akienda kuwatuza watoto hao.
Wasanii Kizibo na mwenzake wakiigiza kichekesho.
Baadhi ya watoto wakionesha vipaji vya kuimba.Msanii Machejo akiburudisha kwa mbwembwe.
Wasanii wakiwa katika picha ya pamoja.
WASANII wa makundi ya sanaa ya maigizo ya Jakaya Theatre Arts Group na Uaridi Arts jana walitoa misaada mbalimbali kwa watoto yatima wa kituo cha Ijango Zaidia Orphanage Centre cha Sinza-Madukani jijini Dar ikiwa ni sehemu ya kuadhimisha miaka minne tangu kifo cha aliyekuwa mwasisi na msanii wa Kundi la Jakaya, Thomas Senzighe.
Habari / picha:Na Brighton Masalu /
Mponji akiwakabidhi watoto zawadi. |

Hakuna maoni:
Chapisha Maoni