promotion

Jumanne, 12 Mei 2015

RAIS KIKWETE AHITIMISHA ZIARA YAKE ALGERIA, AREJEA NCHINI

mcharoman blogy fahar yako mtanzania

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipanda ndege katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Houari Boumediene jijini Algiers Jumatatu ya Mei 11, 2015 baada ya kuhitimisha ziara yake rasmi ya siku tatu nchini humo.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiaga wenyeji wake katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Houari Boumediene jijini Algiers Jumatatu Mei 11, 2015 baada ya kuhitimisha ziara yake rasmi ya siku tatu nchini humo.…
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipanda ndege katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Houari Boumediene jijini Algiers Jumatatu ya Mei 11, 2015 baada ya kuhitimisha ziara yake rasmi ya siku tatu nchini humo.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiaga wenyeji wake katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Houari Boumediene jijini Algiers Jumatatu Mei 11, 2015 baada ya kuhitimisha ziara yake rasmi ya siku tatu nchini humo.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipata picha ya kumbukumbu na Marubani na Wafanyakazi wa Shirika la Ndege la Tassili la Algeria baada ya kuwsili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es Salaam usiku wa kuamkia leo Mei 12, 2015 baada ya kuhitimisha ziara yake rasmi ya siku tatu nchini Algeria.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akilakiwa na viongozi mbalimbali katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es Salaam usiku wa kuamkia leo MEI 12, 2015 baada ya kuhitimisha ziara yake rasmi ya siku tatu nchini Algeria.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiongea na Mkuu wa Wilaya ya Ilala, Mhe. Raymond Mushi alipowasili kutoka Algeria katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es Salaam usiku wa kuamkia leo Mei 12, 2015 baada ya kuhitimisha ziara yake rasmi ya siku tatu nchini Algeria.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiongea na Kamanda wa Polisi Kanda ya Dar es Salaam, Kamishna Suleiman Kova, Mkuu wa Wilaya ya Ilala Mhe Raymond Mushi, Mkuu wa Wilaya ya Temeke Mhe. Sophia Mjema na Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni Mhe. Paul Makonda alipowasili kutoka Algeria.
(PICHA NA IKULU)

Hakuna maoni: