promotion

Jumapili, 2 Novemba 2014

MKUTANO WA MWENYEKITI WA BAWACHA,MH HALIMA MDEE ALIOUITISHWA PAMOJA NA WANANCHI WILAYANI MASWA MKOANI SIMIYU.



Katika mkutano huo mwenyekiti wa bawacha tanzania mh. halima mdee
amewahamasisha wananchi kuikataa katiba iliyopendekezwa lakini pia amewataka wananchi kuwapa kipaumbele wagombea wa chama pinzani katika kuwania uongozi wa serikali za mitaa ili kuleta mapinduzi pia ameongeza kwa kuwataka wanachi kutolazimishwa kuchangia mchango wa vyumba vya maabara katika shule za sekondari ikiwa ndio mchakato unaoendelea kwa sasa

-


Hakuna maoni: