Jumatatu, 21 Julai 2014
MLIMBWENDE AJISAIDIA HAJA NDOGO KWENYE NGUO KAMA MTOTO BAADA YA KULEWA POMBE KUPITILIZA..!
Mwanadada akiwa hoi baada ya kunywa pombe kupita kiasi
Hii tabia ya kupiga mitungi bila kipimo jamani muiache kina dada, mwanamke mzuri ni yule ambaye hanywi pombe a anaagiza anaknywa nyumbaniau hakubali kunywa pombe bila boy wake kuwa karibu kwani akilewa jamaa atamhakikishia salama wa kutosha, sasa tazama huyu dada aliyelewa na kuanza kujikojolea oyo huku yeye mwenyewe akiwa hajui anachokifanya, chonde jamani ulevi nomaaaaaaaa.
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni (Atom)
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni