Wabunge wa bunge maalumu la katiba mjini dodoma wamekubaliana kutoa msaada wote kwa pamoja posho zao za siku moja ambambo ni takribani million arobain na nne [44] kuwasaidia wananchi waliopatwa na mafuriko jijini dar es salaam
Akiyasema makamu mwenyekiti wa bunge maalumu la katiba mh samia suluhu hassaniea kusaidia wananchi waliopatwa na matatizo hayo kwani ni jukumu la kila mtu kusaidia
Hata hivyo bunge hilo maalumu la katiba limeahirisha leo mpaka tarehe 22aprl 2014 kwa ajili ya kupumzika kwenye sikukuu ya pasaka
By mcharoman
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni