Jumatatu, 23 Februari 2015
Jumapili, 22 Februari 2015
MBUNGE WA MVOMERO, MH. AMOS MAKALLA ATUMIA BODABODA KUFANYA ZIARA JIMBONI KWAKE
Ijumaa, 20 Februari 2015
Jumanne, 17 Februari 2015
Kingwendu Kugombea Ubunge Mwaka Huu!!
mcharoman blogy
Mwigizaji mkongwe wa vichekesho hapa Bongo, Rashid Mwinshehe "Kingwendu", amesema anajiandaa Kugombea Ubunge 2015 Kupitia Chama ambacho amedai Kuwa anaona Kinapendwa na Watanzania wengi bila ya Kutaja Jina la Chama hicho wala Jimbo atakalogombea.
Wataalamu wa Masuala ya Kisiasa Nchini, wameitafsiri Kauli hiyo ya Kingwendu Kwa Mitazamo tofauti, huku Wengi Kati yao Wakisema Kuwa Upinzani Una Nguvu Kubwa hivi sasa hapa Nchini, hivyo Sio ajabu Kwamba yawezekana Msanii huyu amevutiwa na Kuamua Kujiunga na Chama fulani Cha Upinzani Ili aendeshe harakati za Ukombozi wa Taifa hili.
Akizungumza na Mwandishi wa Tanzania Daima, Kingwendu alisema, "Ninajiandaa Kugombea Ubunge 2015 Kupitia Chama ninachoona Kinapendwa na Watanzania wengi Kwenye Jimbo ambalo ntalitaja hapo baadae Wakati Utakapofika, Bado ninafanya Mazungumzo na Washauri wangu wa Karibu Kuhusiana na Swala, nadhani ntaliweka Wazi muda Ukifika..."Zaidi nawatakia Watanzania Kila la Kheri Katika harakati hizi".

Jumatatu, 16 Februari 2015
Jumapili, 15 Februari 2015
Hali halisi ilivo baada ya polisi kupambana na kundi la kigaidi mkoani tanga
Shule binafsi zatesa matokeo kidato cha nne mwaka huu (shuhudia mwanafunzi aliyefanya vizuri kitaifa huyu hapa)
mcharoman blogy
Ijumaa, 13 Februari 2015
Alhamisi, 12 Februari 2015
Hatimae suala la mchakato wa upatikanaji wa press comference kwa waandishi wa habari mkoani simiyu waingiliwa kati na Mkurugenzi mtendaji wa UTPC.bw.Abubakar Karsan
Jumatano, 11 Februari 2015
Jumanne, 10 Februari 2015
Ushahidi wa video waanikwa kesi ya Ponda
Jumatatu, 9 Februari 2015
Jumapili, 8 Februari 2015
WATU SITA WAJERUHIWA KATIKA AJALI KILIMANJARO
Jisajili kwenye:
Machapisho (Atom)

.jpg)

.jpg)